Mi huwa nakosaga raha Tukilala njaa sina kitu mfukoni Ndomaana nasaka chapaa... Kwanguvu sana tuishi vyema mbeleni Wakisema umechakaa Hupaki mafuta umepauka usoni Achana na vigakura Kazi kusema yakwao hawayaoni Penzi letu shilingi Chunga usije ichezea tunduni eeh Moyo niweka vigingi Wasije wakakuteka we mommy Penzi letu shilingi Chunga usije ichezea tunduni eeh Moyoni weka vigingi Eee! aaaa..... (Terii teri mulala akusinga gwe mukwano Terii teri mulala... aaaa.....)x2 You're my painkiller.. You're my desire.. I'll never retire.. till I die..... You're love is fire.. Nobody can stop.. You're my only one.. Ooh! my love oo.. Penzi letu shilingi Chunga usije ichezea tunduni Moyo niweka vigingi Wasije wakakuteka we mommy Penzi letu shilingi Chunga usije ichezea tunduni eeh Moyoni weka vigingi Eee! aaaa..... (Terii teri mulala akusinga gwe mukwano Terii teri mulala... aaaa.....)x2 Kutwa kucha mi juani.. Nazisaka kila hali.. Tuje tulie kivulini We mauwa aa... Ukiniacha tahabani.. Kama wewe misioni.. Ukiniacha gizani Utaniuaaa aaa.... Oooooh!......... Hey eeee heee... I love you maaa... aaaaaa..... (Ukiniacha wewe(taumia haa.. tauguaa...) Ooh my baby iih(taumia haa.. tauguaa....)x2 Yeah Mi huwa nakosaga raha Tukilala njaa sina kitu mfukoni Ndomaana nasaka chapaa... Kwanguvu sana tuishi vyema mbeleni Wakisema umechakaa Hupaki mafuta umepauka usoni Achana na vigakura Kazi kusema yakwao hawayaoni Penzi letu shilingi Chunga usije ichezea tunduni eeh Moyo niweka vigingi Wasije wakakuteka we mommy Penzi letu shilingi Chunga usije ichezea tunduni eeh Moyoni weka vigingi Eee! aaaa..... (Terii teri mulala akusinga gwe mukwano Terii teri mulala... aaaa.....)x2 You're my painkiller.. You're my desire.. I'll never retire.. till I die..... You're love is fire.. Nobody can stop.. You're my only one.. Ooh! my love oo.. Penzi letu shilingi Chunga usije ichezea tunduni Moyo niweka vigingi Wasije wakakuteka we mommy Penzi letu shilingi Chunga usije ichezea tunduni eeh Moyoni weka vigingi Eee! aaaa..... (Terii teri mulala akusinga gwe mukwano Terii teri mulala... aaaa.....)x2 Kutwa kucha mi juani.. Nazisaka kila hali.. Tuje tulie kivulini We mauwa aa... Ukiniacha tahabani.. Kama wewe misioni.. Ukiniacha gizani Utaniuaaa aaa.... Oooooh!......... Hey eeee heee... I love you maaa... aaaaaa..... (Ukiniacha wewe(taumia haa.. tauguaa...) Ooh my baby iih(taumia haa.. tauguaa....)x2 Yeah