Teri mulala

Teri mulala

Mugezi Emma 2023
-0:00
Download

Lyrics

Mi huwa nakosaga raha Tukilala njaa sina kitu mfukoni Ndomaana nasaka chapaa... Kwanguvu sana  tuishi vyema mbeleni Wakisema umechakaa Hupaki mafuta umepauka usoni Achana na vigakura Kazi kusema yakwao hawayaoni Penzi letu shilingi Chunga usije ichezea tunduni eeh Moyo niweka vigingi Wasije wakakuteka we mommy Penzi letu shilingi Chunga usije ichezea tunduni eeh Moyoni weka vigingi Eee! aaaa..... (Terii teri mulala akusinga gwe mukwano Terii teri mulala... aaaa.....)x2 You're my painkiller.. You're my desire.. I'll never retire.. till I die..... You're love is fire.. Nobody can stop.. You're my only one.. Ooh! my love oo.. Penzi letu shilingi Chunga usije ichezea tunduni Moyo niweka vigingi Wasije wakakuteka we mommy Penzi letu shilingi Chunga usije ichezea tunduni eeh Moyoni weka vigingi Eee! aaaa..... (Terii teri mulala akusinga gwe mukwano Terii teri mulala... aaaa.....)x2 Kutwa kucha mi juani.. Nazisaka kila hali.. Tuje tulie kivulini We mauwa aa... Ukiniacha tahabani.. Kama wewe misioni.. Ukiniacha gizani Utaniuaaa aaa.... Oooooh!......... Hey eeee heee... I love you maaa... aaaaaa..... (Ukiniacha wewe(taumia haa.. tauguaa...) Ooh my baby iih(taumia haa.. tauguaa....)x2 Yeah
Mi huwa nakosaga raha
Tukilala njaa sina kitu mfukoni
Ndomaana nasaka chapaa...
Kwanguvu sana  tuishi vyema mbeleni
Wakisema umechakaa
Hupaki mafuta umepauka usoni
Achana na vigakura
Kazi kusema yakwao hawayaoni
Penzi letu shilingi
Chunga usije ichezea tunduni eeh
Moyo niweka vigingi
Wasije wakakuteka we mommy
Penzi letu shilingi
Chunga usije ichezea tunduni eeh
Moyoni weka vigingi
Eee! aaaa.....
(Terii teri mulala akusinga gwe mukwano
Terii teri mulala... aaaa.....)x2
You're my painkiller..
You're my desire..
I'll never retire..
till I die.....
You're love is fire..
Nobody can stop..
You're my only one..
Ooh! my love oo..
Penzi letu shilingi
Chunga usije ichezea tunduni
Moyo niweka vigingi
Wasije wakakuteka we mommy
Penzi letu shilingi
Chunga usije ichezea tunduni eeh
Moyoni weka vigingi
Eee! aaaa.....
(Terii teri mulala akusinga gwe mukwano
Terii teri mulala... aaaa.....)x2
Kutwa kucha mi juani..
Nazisaka kila hali..
Tuje tulie kivulini
We mauwa aa...
Ukiniacha tahabani..
Kama wewe misioni..
Ukiniacha gizani
Utaniuaaa aaa....
Oooooh!.........
Hey eeee heee...
I love you maaa... aaaaaa.....
(Ukiniacha wewe(taumia haa.. tauguaa...)
Ooh my baby iih(taumia haa.. tauguaa....)x2
Yeah

More by Mugezi Emma

Related Artists